Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 230
- 541
Na bado wale wazalendo maslahi na waimba mapambio wote kazi kwenu.Wapinzani wamepandishiwa gharama za mafuta ukiende sheli na kadi ya uanacha wa ccm mafuta utauziwa kwa sh 1700 Kama Zambia...
Na Mimi naipongeza Serikali ya CCM kwa kupandisha Bei ya mafuta ya petrol na kuongeza ghalama za miamala ya kifedha,maana CCM na Màtaga haziwahusu zinawahusu wapinzani tu hasa Chadema wanajifanya wajuaji sana,Wapinzani wamepandishiwa gharama za mafuta ukiende sheli na kadi ya uanacha wa ccm mafuta utauziwa kwa sh 1700 Kama Zambia.
Tozo ya miamala ya ccm haiwahusu wanaccm hiyo ni maalumu kwa wapinzani wanaisoma namba,mwanaccm ukienda kwa wakala ukionesha kadi yako aaah hizo tozo hazikuhusu.
Wapinzani tuwakanyaje,tuwakunje,tuwatupe ccm juuuuuu
Wapinzani mtajuta kuto ipigia kura ccm 2020,oneni Wana ccm wanavyo kula bata
sisi watu wa chama cha Mbowe na TL inabidi tuhame nchiWapinzani wamepandishiwa gharama za mafuta ukiende sheli na kadi ya uanacha wa ccm mafuta utauziwa kwa sh 1700 Kama Zambia.
Tozo ya miamala ya CCM haiwahusu wanaccm hiyo ni maalumu kwa wapinzani wanaisoma namba,mwanaccm ukienda kwa wakala ukionesha kadi yako aaah hizo tozo hazikuhusu.
Wapinzani tuwakanyaje,tuwakunje, tuwatupe ccm juu. Wapinzani mtajuta kuto ipigia kura ccm 2020,oneni Wana ccm wanavyo kula bata
Tuandamane kuipongeza serikali kwa hatua nzuri ya kujali wanyongeNa Mimi naipongeza Serikali ya CCM kwa kupandisha Bei ya mafuta ya petrol na kuongeza ghalama za miamala ya kifedha,maana CCM na Màtaga haziwahusu zinawahusu wapinzani tu hasa Chadema wanajifanya wajuaji sana,
Tena inatakiwa wapandisha zaidi ili wapinzani waahike adabu.
UVCCM Dodoma waandamane nchi nzima kuipongeza serikali yaoWapinzani wamepandishiwa gharama za mafuta ukiende sheli na kadi ya uanacha wa ccm mafuta utauziwa kwa sh 1700 Kama Zambia.
Tozo ya miamala ya CCM haiwahusu wanaccm hiyo ni maalumu kwa wapinzani wanaisoma namba,mwanaccm ukienda kwa wakala ukionesha kadi yako aaah hizo tozo hazikuhusu.
Wapinzani tuwakanyaje,tuwakunje, tuwatupe ccm juu. Wapinzani mtajuta kuto ipigia kura ccm 2020,oneni Wana ccm wanavyo kula bata