Wapi zipo ofisi za Uhamiaji Dar?

C uchukulie hapo kibaha tu. Mbona ndio karibu kwako
 
C uchukulie hapo kibaha tu. Mbona ndio karibu kwako
Na kweli kama yupo Kibaha, ni rahisi kwa sababu akipanda na barabara ya kwenda mkoani, akifika pale round about anakula kushoto akitembea mita chache ataliona jengo la ghorofa ambalo ndio la Uhamiaji liko upande wa kushoto. Akifika hapo matatizo yake yote kuhusu hati za kusafiri au kama anataka kubadili Uraia yatashughulikiwa hapo.
 
Kurasini, ila ngoja waje kukupa muongozo...
 
Ushajaza form za mtandaoni na kulipa 20k ya Serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…