G Giltami JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 1,040 Reaction score 1,631 Jun 5, 2017 #1 Wakuu nafikiri kufanya biashara ya kununua nguo hasa za kiume jeans,shirt na kupeleka mkoani.Nimetembelea kariakoo wauzaji wengi wanapenda faida kubwa naomba kujua kwenye uzoefu wapi naweza pata bei nzuri?
Wakuu nafikiri kufanya biashara ya kununua nguo hasa za kiume jeans,shirt na kupeleka mkoani.Nimetembelea kariakoo wauzaji wengi wanapenda faida kubwa naomba kujua kwenye uzoefu wapi naweza pata bei nzuri?