jakackseru
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 132
- 27
husika nakichwa cha habari hapo juu, ningependwa kujuzwa niwapi nawezapata kioo cha iphone 4s, nahitaji kubadilisha sababu simu yangu imechoka kioo ila bado iko pouwa nakwasasa sihitaji kununua simu nyingine.

ebay wanapatikana wapi?
ebay posta wanaiba. Nineshaibiwa vitu vinne havijafika
tumia recorded parcel delivery method , mpokeaji anatakiwa kutia sahihi kupokea mzigo .sijaibiwa parcel yeyote zaidi ya miaka sita sasa
Kwa Tanzania mtaibiwa sana msinunue hapa,ingia Ebay front screen(kioo cha juu) kule unapata kwa $5 tu au 7 kikiwa na vifaa vya kubandulia kile kioo cha zamani na gundi la kibandikia kioo kipya ukishanunua wewe andaa ela tu ya fundi basi....zaidi ya hapo utaambiwa mpaka laki 2 kwa wizi wa watanzania mimi yamenikita kata kama hayo kwa samsung s4 kioo cha juu kubadilisha maambiwa laki 1.8 wakati ebay kioo $5 kwetu wizi mtupu
Asante mkuu kwa taarifa, sasa mimi sina a/c ebay nitafanyaje?
tumia recorded parcel delivery method , mpokeaji anatakiwa kutia sahihi kupokea mzigo .sijaibiwa parcel yeyote zaidi ya miaka sita sasa
Nenda crdb fungua akaunti fasta haizidi masaa 2 huduma zote mpaka online purchasing utaunganishwa fanya hivyo.
Yes mkuuu,unaweza kuagiza tu mkuusasa hyo ebay unaweza agiza mzigo mkubwa kama simu na laptop na ikakufikia