MKUDE SIMBA JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 305 Reaction score 168 Mar 11, 2020 #1 Poleni na majukumu, naomba kufahamishwa wapi naweza pata NONDO kwa tani bei ya jumla nzuri Arusha.
K kikaniki JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 508 Reaction score 979 Mar 15, 2020 #2 MKUDE SIMBA said: Poleni na majukumu, naomba kufahamishwa wapi naweza pata NONDO kwa tani bei ya jumla nzuri Arusha. Click to expand... Nenda Unga limited, katika kiwanda cha nondo AIM STEEL. Kiwanda kipo jirani na hospitali ya NSK na pia jirani na kiwanda cha mabati cha Dragon Sent using Jamii Forums mobile app
MKUDE SIMBA said: Poleni na majukumu, naomba kufahamishwa wapi naweza pata NONDO kwa tani bei ya jumla nzuri Arusha. Click to expand... Nenda Unga limited, katika kiwanda cha nondo AIM STEEL. Kiwanda kipo jirani na hospitali ya NSK na pia jirani na kiwanda cha mabati cha Dragon Sent using Jamii Forums mobile app