jitahidi unielewee
Km ushawahi ona baadhi ya maeneo,
Sikuhizi Kuna hizi outdoor shopping, Sasa mm nataka nifanye ya nguo,viatu n.k maana nimepata eneo zuri ila siruhusiwi kujenga, ni kuuza mchana halaf jioni nafungasha,
Kuna sehem nilikua napitapita nikaona mtu anauza mahitaj ya biashara km hio..
Km tent, stand za viatu, hung za nguo, zuriaa,
Yaani kwa ufupi Kila kitu kwaa ajili ya biashara ya nguo lakini maalumu kwa kuuzia njeee...
JITAHIDI UNIELEWEE
Naomba msaaada napata wapi