Jamsojamaal Member Joined Jul 13, 2022 Posts 23 Reaction score 6 Aug 3, 2022 #1 Wadau naomba kuuliza mwenye kujua mahali au kampuni inayo tengeneza chupa za maji disposable za lita 18 na lita 13
Wadau naomba kuuliza mwenye kujua mahali au kampuni inayo tengeneza chupa za maji disposable za lita 18 na lita 13
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 9,885 Reaction score 13,261 Aug 3, 2022 #2 Jamsojamaal said: Wadau naomba kuuliza mwenye kujua mahali au kampuni inayo tengeneza chupa za maji disposable za lita 18 na lita 13 Click to expand... Hujasema uko mkoa gani. Kama uko Dar Nenda chan'gombe kuna viwanda kama Simba Plastics,Cello ndio kazi zao hizo. Au hata kama mtashindwana watakuelekeza sehemu nyingine sahihi maana hujasema unahitaji chupa ngapi
Jamsojamaal said: Wadau naomba kuuliza mwenye kujua mahali au kampuni inayo tengeneza chupa za maji disposable za lita 18 na lita 13 Click to expand... Hujasema uko mkoa gani. Kama uko Dar Nenda chan'gombe kuna viwanda kama Simba Plastics,Cello ndio kazi zao hizo. Au hata kama mtashindwana watakuelekeza sehemu nyingine sahihi maana hujasema unahitaji chupa ngapi
Jamsojamaal Member Joined Jul 13, 2022 Posts 23 Reaction score 6 Aug 3, 2022 Thread starter #3 Mi nipo Tanga ila nataka kujua wapi wanatangeneza hata kama ni dar nipate details tu wapi wanatengeneza ama kuuza mkuu
Mi nipo Tanga ila nataka kujua wapi wanatangeneza hata kama ni dar nipate details tu wapi wanatengeneza ama kuuza mkuu
M maruudaniel JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 888 Reaction score 1,075 Aug 3, 2022 #4 Jamsojamaal said: Wadau naomba kuuliza mwenye kujua mahali au kampuni inayo tengeneza chupa za maji disposable za lita 18 na lita 13 Click to expand... Mku hbr. Mm ninatafuta wa kunidizaia aina yangu ninayoitaka. Lakini yangu siyo ya maji Mku. Asante
Jamsojamaal said: Wadau naomba kuuliza mwenye kujua mahali au kampuni inayo tengeneza chupa za maji disposable za lita 18 na lita 13 Click to expand... Mku hbr. Mm ninatafuta wa kunidizaia aina yangu ninayoitaka. Lakini yangu siyo ya maji Mku. Asante
M maruudaniel JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 888 Reaction score 1,075 Aug 3, 2022 #5 Mku nenda Simba Plastic au Jambo Plastic kwani utapata hii huduma
Jamsojamaal Member Joined Jul 13, 2022 Posts 23 Reaction score 6 Aug 3, 2022 Thread starter #6 Mi nipo Tanga ila nataka kujua wapi wanatangeneza hata kama ni dar nipate details tu wapi wanatengeneza ama kuuza mkuu maruudaniel said: Mku nenda Simba Plastic au Jambo Plastic kwani utapata hii huduma Click to expand... Sawa mkuu ngoja niwacheki
Mi nipo Tanga ila nataka kujua wapi wanatangeneza hata kama ni dar nipate details tu wapi wanatengeneza ama kuuza mkuu maruudaniel said: Mku nenda Simba Plastic au Jambo Plastic kwani utapata hii huduma Click to expand... Sawa mkuu ngoja niwacheki
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Aug 3, 2022 #7 Jamsojamaal said: Mi nipo Tanga ila nataka kujua wapi wanatangeneza hata kama ni dar nipate details tu wapi wanatengeneza ama kuuza mkuu Sawa mkuu ngoja niwacheki Click to expand... FANYA UJE DAR ITAKUWA RAHISI
Jamsojamaal said: Mi nipo Tanga ila nataka kujua wapi wanatangeneza hata kama ni dar nipate details tu wapi wanatengeneza ama kuuza mkuu Sawa mkuu ngoja niwacheki Click to expand... FANYA UJE DAR ITAKUWA RAHISI
M maruudaniel JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 888 Reaction score 1,075 Aug 4, 2022 #8 Nenda nilikokuelekeza utapata. Vipi swala langu la kumpata wa kunidizaini chupa
Jamsojamaal Member Joined Jul 13, 2022 Posts 23 Reaction score 6 Aug 4, 2022 Thread starter #9 maruudaniel said: Nenda nilikokuelekeza utapata. Vipi swala langu la kumpata wa kunidizaini chupa Click to expand... Sawa mkuu nimejaribu kucheki naona wanatengeneza matanki makubwa na nilikuwa nataka chupa kama zile za kilimanjaro za lita 18
maruudaniel said: Nenda nilikokuelekeza utapata. Vipi swala langu la kumpata wa kunidizaini chupa Click to expand... Sawa mkuu nimejaribu kucheki naona wanatengeneza matanki makubwa na nilikuwa nataka chupa kama zile za kilimanjaro za lita 18
MUTUYAMUNGU JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,824 Reaction score 4,384 Aug 4, 2022 #10 Omar Bakhresa ana hicho kiwanda na ndio kazi zake
Jamsojamaal Member Joined Jul 13, 2022 Posts 23 Reaction score 6 Aug 4, 2022 Thread starter #11 Sawa mkuu shukrani
M Mb investment New Member Joined Jan 23, 2023 Posts 1 Reaction score 0 Dec 18, 2023 #12 Habiri... Mimi ni wakala wa Chupa za plastic kwa matumizi ya maji,vileo,juice nk. Kwa anae hitaji anitafute whtspp +256756191650
Habiri... Mimi ni wakala wa Chupa za plastic kwa matumizi ya maji,vileo,juice nk. Kwa anae hitaji anitafute whtspp +256756191650