Wapi wananunua laptop mbovu?

Wapi wananunua laptop mbovu?

kuku87

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
1,220
Reaction score
296
Wadau nauza laptop zangu mbovu ziko mbili ni wapi wanakonunua laptop zilizoharibika? Kama kuna mdau humu anicheki PM
 
Hizo unaweza uza kama spare kutegemea na ubovu wake, mfano unaweza kuweka aina ya laptop kisha ukataja ubovu wake ili mwenye kama yako na ubovu wake unahitaji spare basi mtapiga biashara.

Kama miongoni mwa hizo mashine una LG x140 yenye mazabodi nzima tufanye biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom