wapi tunakwenda hii ni hatri!

kichiwa

Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
24
Reaction score
5
mi ni mwanafunzi chuo kimoja hapa nchini nachukua shahada ya ualimu,maisha yangu yanchangamoto kidogo,kwanza nasoma ualimu ambao mi binafsi sipendi na sina wito kabisa ila sababu inayonifanya nisome ualimu ni umaskini sasa napata ugum ni vipi nitawasaidia watoto kipindi nikipata ajira maana shida yangu sio kufundisha ila mi ninachohitaji ni pesa ya nchi hii maana sina namna nyingine ya kila pesa hiyo shida inakuja kwa watoto je itakuaje?
 
Sio lazma ukafundishe.....waweza kuwa mpishi wa shule
 

Du kazi ipo! Kaendelee kudidimiza hili jahazi la elimu Tz
 

Mulugo weeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…