Wapi Prof. Kapuya?

Na kweli huyu mkuu sijamsikia siku nyingi. Hivi bado ni Mbunge au anakula penseni tu?
 
Anakula pension na vichangudoa vyake, Professor mzima aliyekuwa waziri bila hata haya anahangaika na changu pori ataishia pabaya muda si mrefu.

 
Kilimo KWanza in Urambo..Waweza kukuta anashughulikia kilimo cha tumbaku daytime na jioni kupata MDUARA (ref kwenye picha ya juu)
 
Duh!!kweli hii Tz ni kubwa sana,mtu maarufu hivi anapotea kiasi hiki hajafa na akifa je? Kapuya nimemkumbuka kwani alikuwa waziri (wa elimu) wa kwanza kumuona alipotembelea pale Rutabo,Kagera wakati nimeanza form1 1999

nilikuwa mdogo lakini nilivutiwa na alivyoongea kiingereza pale assemble,nilipenda sana
 
Huyu mzee yuko wapi wakubwa

Hivi unahitaji kupoteza muda na ubongo wako kukumbuka watu wa aina hii? For what? Kuna wanaostahili kukumbukwa sio aina za huyu jamaa.
 
Anapasawa kukumbukwa kwa mengi tu. Ila nadhani siasa haikuwa anga zake lakini kwa taaluma yake ni balaa. Hapo namvulia kofia maana ile Plant Physiology kwa kweli akikuchapa shule hapo utamwaminia mambo magumu lakini anavyoyafundisha kilaini huwezi amini. Ukimstua usingizini ukamwambie akushushie Kreb's Cycle (kwa wale scientists specifically biologists nadhani tunaelewana mangwini mtanisamehe) ni kama sala ya baba yetu. Nakumbuka hata alipokwenda kugombea ubunge na akashinda aliahidi kuendelea kufundisha pale Botany Department mlimani maana alikuwa the only Prof. of Plant physiology. Lakini naona huko kwenye siasa utamu ulizidi hakuonekana tena. Labda sasa ndio anatekeleza ile ahadi yake ya kupiga taalum Mlimani ndio maana haonekani.
 

Mbona mnamjadili mbunge wa Urambo Magharibi as if ameshatundika daluga za siasa darini?, Jamaa bado anapokea posho za vikao vya bunge. Mbona watu kama Mama Kilango ambao walipata umaruufu hamuwazungumzii?, au ndiyo kutaka kuileta picha ya AKUDO akipagawishwa na kabinti na kuwa kama katoto ka tumbili kameng'ang'ania mgongo wa mama yake?
Parliament of Tanzania
 
Hahahahahah lol! Mie hii picha mpaka leo hii kila nikiona inanifurahisha sana. Huyu Mzee hakujua kama anaweza kuchukuliwa picha? Halafu mwenyewe alitulia kabisa bila hata wasiwasi lol!

JF ni kiboko! Kwa kweli sikujua kabisa kuwa huyu aliyeng'ang'ania mgongoni mwa kabinti ni Prof. Hii ni kali! Lakni inaonekana kwa watoto ni wembe chapa nasset!
 
Hahahahahah lol! Mie hii picha mpaka leo hii kila nikiona inanifurahisha sana. Huyu Mzee hakujua kama anaweza kuchukuliwa picha? Halafu mwenyewe alitulia kabisa bila hata wasiwasi lol!

Mh mi nimechoka JF mambo yote haki ya Mungu,siamini macho yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…