Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,893 Reaction score 5,076 Sep 4, 2016 #1 Mm npo kigoma huku border ya burund kuna kaduka nimefungya ila natka kuuza simu za kawaida not smartphone Naomba mnifahamishe naweza kuzipata WAP ndan ya Tanzania hiie na nkiweza kuwekewa na bei pia itakuwa vizuri sana
Mm npo kigoma huku border ya burund kuna kaduka nimefungya ila natka kuuza simu za kawaida not smartphone Naomba mnifahamishe naweza kuzipata WAP ndan ya Tanzania hiie na nkiweza kuwekewa na bei pia itakuwa vizuri sana
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,893 Reaction score 5,076 Sep 4, 2016 Thread starter #2 Ukiweka namba zako za simu pia itakuwa vizuri ili uweze kupata Wateja weng zaidi