TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,441 Reaction score 8,692 Nov 17, 2022 #1 Habari wakuu, Wapi nitapata chimbo la spea za pikipiki kwa bei ya jumla nahitaji kuuuza jumla la rejareja sasa wapi nitapata mzigo kwa bei ya jumla mwenye data kuhusu hii biashara msaada wakuu.
Habari wakuu, Wapi nitapata chimbo la spea za pikipiki kwa bei ya jumla nahitaji kuuuza jumla la rejareja sasa wapi nitapata mzigo kwa bei ya jumla mwenye data kuhusu hii biashara msaada wakuu.
KENGE 01 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 1,770 Reaction score 4,395 Nov 17, 2022 #2 Ngoja waje wajuzi Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,659 Reaction score 21,388 Dec 19, 2022 #3 China. Tunachokijua: