Duuh!Mkuu hii ni hatari yaani nilitegemea maelezo ila sijakuta kitu
Kama unaongelea zile receiver kama QSAT,Zorrobox,na AZSKY kwa ajili ya DST> basi tuwasiliane
Kitu ya uhakika na roho yako itapenda na special customer support 24/7 unapata huduma
0657209956
0753932250
Hii kitu ya dongle nilikuwa bado naitafuta naamini bei imeshuka sasa ninunue
Naona serikali yetu ndo inaelekea huku kwenye dongle decorder
Kwa mwenye bei nzuri atupie