Hauwezi kupata hiyo kitu kwa bure maana hizo VPS zinarun kwenye real hardware na zinahitaji resources ambazo ni gharamma kuziendesha. Pia nadhan utakuwa very disapointed na processing capability ya VPS hiyo ndogo yenye 1GB ram hizo calculation zitakwa faster kwenye machine yako most of the time.
Za kulipia zipo Amazo AWS bei ni kwa saa na kutegemea unachagua machine ya aina gani, zenye processors nyingi, ram nyingi etc.
EC2 Instance Types – Amazon Web Services (AWS) pia Google cloud Azure wana similar service.
Kama utahitaji kuhamisha data nyingi kwene izo server hiyo ni gharama nyingine.
Kuna kampuni kama DigitalOcean ambazo zina VPS kuanzia $5/month nadhaani ina 512MB RAM.