Broo mbona ziko kibao km uko dar nenda kkoo barabara ya kwenda mnazi mmoja maduka ya kushoto hahasa na ya kulia machache L800 ziko kibao. km uko mwanza mm sa iv niko huku nicheki nikupeleke ziko kibao. nairobi pia ndo ziko kibao zaidi
Siyo L 800, Ni Epson L 1,800 printer ni A3.
Kuna Epson 1410 nayo iko poa sana inapiga A3+
Epson 1410
nenda pale posta,laptop city na ona,kama wanazoNaomba mrejesho Mkuu, nami natafuta L850 na L3060
jaribu Masumin ya mtaa wa Jamhuri Posta.Naomba mrejesho Mkuu, nami natafuta L850 na L3060
She ngapi Boss?jaribu Masumin ya mtaa wa Jamhuri Posta.
sina uhakika sana mkuu, hadi niulizie.
Nisbapata boss. Zipo nyingi sana pale Kariakoo Dar es Salaam! Ni 960,000/= kwa Epson L850 na 780,000/= kwa Epson L805.s
sina uhakika sana mkuu, hadi niulizie.
Mkuu, umechukua l850?? Na je ufanisi wake wa kazi ukoje? Ina udhaifu wowote unaoweza kumshauri mtu asinunue? Natanguliza shukran kwa mrejesho!!Nisbapata boss. Zipo nyingi sana pale Kariakoo Dar es Salaam! Ni 960,000/= kwa Epson L850 na 780,000/= kwa Epson L805.
Sijaitumia sana, ndo nataka kuanza kuitumia vizuri. Ila Quality ya picha hairidhishi kama inavyosifiwa na wengi. Nimeambiwa L805 Ina afadhali kuliko L850 katika suala la picha.Mkuu, umechukua l850?? Na je ufanisi wake wa kazi ukoje? Ina udhaifu wowote unaoweza kumshauri mtu asinunue? Natanguliza shukran kwa mrejesho!!