Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Wakuu nina Laptop aina ya Acer betri yake haikai na charge hata kwa lisaa limoja natafuta wapi naweza nunua bwtri mpya kwa Mwanza
Nitashukuru nikipatiwa na bei ...
Wakuu nina Laptop aina ya Acer betri yake haikai na charge hata kwa lisaa limoja natafuta wapi naweza nunua bwtri mpya kwa Mwanza
Nitashukuru nikipatiwa na bei ...
Ukikosa tuwasiliane kwa dar. Ushauri wangu battery original inayokaa na charge nusu saa ni bora kuliko ya kununua mpya za tz.

Kama laptop yako ina battery original lkn inechoka. Inakaa na charge kwa nusu saa tuu. Basi bora ubakie nayo hiyo hiyo tuu. Kwasababu battery mpya zinazoletwa tz sio irigina inakaa na charge sanaa lkn hazidumu muda mferu(maisha mafupi)Aisee napata mashaka Betri ya Laptop orijino ikae na.chaji nusu sasa??What the hell is that??
Unaposema kuliko za hapa Tz una maana gani??Tz sikuhizi kuna viwanda vya kutengeneza mabetri ya Laptop??
Nachofahamu mabetri ya Laptop na vifaa vinginevyo vipo na vinapatikana kwenye maduka yanayouza Laptop...na accessories nyingine nyingi!!