Wapi naweza pata SAA hii Casio G-Shock DW5600E 1V watch?

Nenda kariakoo mtaa wa aggrey kuna maduka ya mawili ya camera km sikosei yana bango la canon wanazo, nimenunua juzi tu na bei zao ni rahisi kuliko hata aliexpress

View attachment 1901795
Nimenunua hapo kwa hao waarabu, Casio tofauti 4, kama hii (metal silver) nilinunua mwaka 2015 kwa sh 45,000/ mpaka leo kitu bado kinakonyeza. Nasikia zimepanda bei kinoma.
 
Ingekuwa saa ya mshale ingekuwa imeshaharibika
Nimenunua hapo kwa hao waarabu, Casio tofauti 4, kama hii (metal silver) nilinunua mwaka 2015 kwa sh 45,000/ mpaka leo kitu bado kinakonyeza. Nasikia zimepanda bei kinoma.
 
Nimenunua hapo kwa hao waarabu, Casio tofauti 4, kama hii (metal silver) nilinunua mwaka 2015 kwa sh 45,000/ mpaka leo kitu bado kinakonyeza. Nasikia zimepanda bei kinoma.
Ni hao hao waarabu. Bei zao za kawaida sana na og
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…