Wapi naweza kupata kitabu cha 'GMAT'?

just-imagine

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
373
Reaction score
449
wakuu habari za saa hizi...
nilikuwa nauliza wapi ninaweza kupata kitabu cha GMAT kwa tanzania??
 
Ninacho pia nitakupa bure7

Samahani sikuangalia vizuri aliyeandika nikadhani ni Joseverest mwenyewe aliyeuliza kitabu mwanzoni. Ni mgeni kidogo kwenye Jamii Forum sijawa mzuri kwenye kuitumia. naamini atakufuta kama bado anakihitaji. Nakutakia muda mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…