ni ushauri tu mkuu mambo ya kitabibu haya usije ukapotea, usiwe mkali mkuu nunua pia na PrEP umeze pamoja itakusaidia hii ya mwisho muhimu zaidi.[/QUOTE]
Unamaanisha anunue Pre exposure prophylaxis PrEP, aina gani? Kwa nini usimuelmishe kuhusu Adverse effects za Sildenafil kama lowering blood pressure (hypotension)?