P Prime Dynamics JF-Expert Member Dec 30, 2010 551 249 Jul 18, 2016 #1 Nawasalimu wanajamvi, Naomba mwenye ufahamu wapi naweza kupata database ya shule (msingi na secondary) zote Tanzania anijuze. Nashukuru.
Nawasalimu wanajamvi, Naomba mwenye ufahamu wapi naweza kupata database ya shule (msingi na secondary) zote Tanzania anijuze. Nashukuru.
cerengeti JF-Expert Member Jan 19, 2011 3,878 1,622 Aug 4, 2016 #2 Databases ya shule zote nchini inapatikana. Natafute 0655308308, email :wigotz@gmail.com
DENICE ADRIAN Senior Member Feb 14, 2014 127 30 Aug 4, 2016 #3 Prime Dynamics said: Nawasalimu wanajamvi, Naomba mwenye ufahamu wapi naweza kupata database ya shule (msingi na secondary) zote Tanzania anijuze. Nashukuru. Click to expand... nenda NECTA watakupatia
Prime Dynamics said: Nawasalimu wanajamvi, Naomba mwenye ufahamu wapi naweza kupata database ya shule (msingi na secondary) zote Tanzania anijuze. Nashukuru. Click to expand... nenda NECTA watakupatia
elite wa Geita Senior Member Jul 25, 2016 157 183 Aug 5, 2016 #4 Nenda NECTA shule zote za primary na Secondary zilizo sajiliwa utapata unachokitaka