Sonanoko Member Joined Jan 23, 2021 Posts 5 Reaction score 1 Jul 11, 2022 #1 Habar wana jamvi.. Kwa DSM ama nje ya DSM wapi naweza kupata academy nzuri ya kumkuza mwanangu kwenye mpira wa miguu? Kijana ana miaka 8 na anapenda sana mpira. Sasa maona ni wakati mwafaka wa kumkutengenezea njia ya ndoto zake.
Habar wana jamvi.. Kwa DSM ama nje ya DSM wapi naweza kupata academy nzuri ya kumkuza mwanangu kwenye mpira wa miguu? Kijana ana miaka 8 na anapenda sana mpira. Sasa maona ni wakati mwafaka wa kumkutengenezea njia ya ndoto zake.
wadzelino JF-Expert Member Joined Sep 16, 2019 Posts 231 Reaction score 391 Jul 11, 2022 #2 Wasiliana na Magnet youth sports, WANA academy nyingi, japo nahisi mtoto atakuwa anatokea nyumbani.
Kinumbo JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 3,189 Reaction score 5,822 Jul 11, 2022 #3 Mimi nakupa neno tu, simamia na kiendeleze kipaji cha mwanao kwa gharama yoyote ile. Usikate tamaa tafadhali
Mimi nakupa neno tu, simamia na kiendeleze kipaji cha mwanao kwa gharama yoyote ile. Usikate tamaa tafadhali
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 9,020 Reaction score 18,680 Jul 11, 2022 #4 Kwa Sasa mpira ni pesa aisee..simamia kipaji Cha mtoto hiko atoboe leo Msuva kashinda kesi atalipwa 1.6B Noma Sana.
Kwa Sasa mpira ni pesa aisee..simamia kipaji Cha mtoto hiko atoboe leo Msuva kashinda kesi atalipwa 1.6B Noma Sana.
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,474 Reaction score 7,025 Jul 11, 2022 #5 Sonanoko said: Habar wana jamvi.. Kwa DSM ama nje ya DSM wapi naweza kupata academy nzuri ya kumkuza mwanangu kwenye mpira wa miguu? Kijana ana miaka 8 na anapenda sana mpira. Sasa maona ni wakati mwafaka wa kumkutengenezea njia ya ndoto zake. Click to expand... Mkuu ukipata nitag..Mimi nikipata yenye sekondari nitafurahi zaidi
Sonanoko said: Habar wana jamvi.. Kwa DSM ama nje ya DSM wapi naweza kupata academy nzuri ya kumkuza mwanangu kwenye mpira wa miguu? Kijana ana miaka 8 na anapenda sana mpira. Sasa maona ni wakati mwafaka wa kumkutengenezea njia ya ndoto zake. Click to expand... Mkuu ukipata nitag..Mimi nikipata yenye sekondari nitafurahi zaidi
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,644 Reaction score 14,810 Jul 11, 2022 #6 Cambiaso academy ongea na mexime
Sonanoko Member Joined Jan 23, 2021 Posts 5 Reaction score 1 Jul 11, 2022 Thread starter #7 wadzelino said: Wasiliana na Magnet youth sports, WANA academy nyingi, japo nahisi mtoto atakuwa anatokea nyumbani. Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hawa wapo wapi ofs zao ama hii iko wapi?
wadzelino said: Wasiliana na Magnet youth sports, WANA academy nyingi, japo nahisi mtoto atakuwa anatokea nyumbani. Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hawa wapo wapi ofs zao ama hii iko wapi?
Sonanoko Member Joined Jan 23, 2021 Posts 5 Reaction score 1 Jul 11, 2022 Thread starter #8 pwilo said: Cambiaso academy ongea na mexime Click to expand... Ahsante