Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,082 Reaction score 10,443 Aug 21, 2011 #101 Matola said: kwahiyo ulitaka tuwafagilie watu wa Morogoro ambao wanachaguwa wabunge wahindi na waarabu miaka yote? Click to expand... Duh!!! nadhani sifa ya ubunge ni utanzania na si uhindi au uafrika (umatumbi) au uarabu hapa naona kuna kaharufu ka ubaguzi kidogo. ''Dhambi ya ubaguzi huwa haishi ni kama kula nyama ya binadamu" - Mwl JK Nyerere
Matola said: kwahiyo ulitaka tuwafagilie watu wa Morogoro ambao wanachaguwa wabunge wahindi na waarabu miaka yote? Click to expand... Duh!!! nadhani sifa ya ubunge ni utanzania na si uhindi au uafrika (umatumbi) au uarabu hapa naona kuna kaharufu ka ubaguzi kidogo. ''Dhambi ya ubaguzi huwa haishi ni kama kula nyama ya binadamu" - Mwl JK Nyerere