Ngoma za chaka hizi nazikubali sana kwenye mizigo ya kibabe hata kuwe na tope unakajaga gia tuBodi hilo la ISUZU TX LONG BASE linauzwa rahisi sana kama unalitaka tuwasiliane.
Kwa kulipigia kazi za mzigo na kubebea magogo mwituni ndio lenyewe
0777433260/0626544813View attachment 1202258View attachment 1202259View attachment 1202260View attachment 1202261View attachment 1202262
Mkuu hii ni toleo la mwaka gani? Imetembea km ngapi? Naomba niPM picha zaidi ikiwemo zioneshazo mazingira ya ndani ya gari.Land cruiser Prado Tz
Engine:5VZ petrol
Bei: Milioni 10.7
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
View attachment 1220653View attachment 1220654View attachment 1220655
Mkuu hii ni toleo la mwaka gani? Imetembea km ngapi? Naomba niPM picha zaidi ikiwemo zioneshazo mazingira ya ndani ya gari.
Roho ya pakaSuzuki swift
1300CC
Bei: Milioni 4.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1221713View attachment 1221714View attachment 1221716
Nicheki WhatsApp 0658124554 tufanikishe hilo zoezi
Nimekucheki tayari sioni mrejesho kiongozi
Mkuu hii ni toleo la mwaka gani? Imetembea km ngapi? Naomba niPM picha zaidi ikiwemo zioneshazo mazingira ya ndani ya gari.
Asante mkuu, umesahau kunijuza ni toleo la mwaka gani?Mkuu pm inakataa wacha nikuwekee hapa
Imetembea km 143340View attachment 1222693View attachment 1222696View attachment 1222697View attachment 1222698