Ishakuwa fasheni kurekodiana wakati wa minyanduano halafu hizo picha zitatumika kufanyiana black mail. Utasikia imeachiwa kipande kimoja zingine zitafuata kali zaidi. Wanyanduaji/wanyanduliwaji kuweni makini wakati wa kuchakatana huko faraghani. Demu lako/jamaa lako linategezea kamera ushavua nguo unarekodiwa kwa siri, ukijitia ujanja tu picha zinaachiwa uaibike