Mnyantuzu nimekuelewa kama Mnyamwezi vile!...πKamnyangala Kane mayuu, kamnyangala Kane.....
Wa Isike mlihoo, wa Sikonge mlihoo, wana mayuuu mliiihoooo...
Ndembele wanyamwezi wotee
Yaayuuuyiiii....
Usipoweza kuzungusha mzigo mzito (kwa wanyamwezi wake kwa waume) basi zungusha mabega kwa madaha...
Yaayuuiiiii, wajamenii, kinyamwezi kitamuu sio kitamuuu....??!π
Wanasemaga Tanga Raha ila Tabora ni raha zaidi, wapi kwingine utapata asali na karanga.....π
Waweja Kulumba, yashiyagaah π€ͺπ
Kasinde Kolombaa.
Yaani mi naona wewe huipati au hujaifikia raha nnayoipata mie heheheh.
Najivunia kuwa mnyamwezi.
Yaani mi naona wewe huipati au hujaifikia raha nnayoipata mie heheheh.
Najivunia kuwa mnyamwezi.
Mbona nimeeelewa yote,kisukuma na kinyamwezi havitofautiani sana.Ila Ndembele maana yake nini ?
Kasie kumbe wewe ni mama yangu mdogo, mama yangu alikuwa Mnyamwezi wa kutoka Ndala Tabora. Nimecheza sana Kamnyangala (kila nilipomtembelea babu mzaa mama wakati wa likizo) na zile nyimbo za harusi kama: Muhala wane, mwanike-oyo kubhela kabhosho kalenganelile, loshiko lweene tokwibhona okomnada Mwanangeleja kabhoshoo kalenganelile...Yaani mi naona wewe huipati au hujaifikia raha nnayoipata mie heheheh.
Najivunia kuwa mnyamwezi.
iiigggghh mashikholoo hayaa..... haahaaahaaahaaaa