Habari wana jf
Natarajia kuvuna matikiti weekend hii.. Shamba lipo mlandizi-kitomondo.. Anaefaham wapi naweza pata wanunuz wa jumla wa matikiti naomba anijuze hapa au tuwasiliane 0652140160...
Pia nina magunia kadhaa ya mkaa nauza 70,000.. Karibuni...