Yani uoe mke mbovu usiyempenda kisa unaogopa atatongozwa? Kama wewe ulimtongoza na ubaya wake huo akakubali umuoe kwa nini wengine wasimtongoze?Hainiingi akili ule usemi unaosemwa kuwa .
GHARISHA YAKO KWANZA . Sasa wanawake wangi hupenda mapambo ,vidani,cheni,nguo nzuri na n.k
Hii yote huongeza kasi ya yeye kuwa mrembo na kutongozwa mara nyingi.
Sasa ili usiishi kwa wasiwasi maana wengi wanaume tunawapenda wake zetu sana na pia hatupendi kuona wakichepuka na kutongozwa ovyo
Je nisiowe mwanamke mzuri kiasi kuwa akipita mtaani wanamwangalia mara moja na kumpotezea ama niowe mzuri iwe tishio kitaa akipita wajilambe na udenda uwatoke niishi kwa wasiwasi .
WANGU HATONGOZWI nitamuweka awe wakawaida sana
WANGU HATONGOZWI
ntaowa mwanamke wa mbaya yaani wife material na sio sex material
WANGU HATONGOZWI
ntamjengea fensi na kuhemea kila kitu mradi asitoke pia ntafuga mbwa mkali
Je hii iko sawa kuondokana na wivu pamoja na maumivu ya mapenzi?View attachment 838812
kichefu chefuAkili zingine bhn.....
Sasa uowe mwanamke mzuri wa sura mpka umbo kwan ni mashindano mzeeYani uoe mke mbovu usiyempenda kisa unaogopa atatongozwa? Kama wewe ulimtongoza na ubaya wake huo akakubali umuoe kwa nini wengine wasimtongoze?
Akili yako itakua bado iko enzi za zinjan thropus. Acha uzamani oa mtoto mzuri hata ikifika j2 watu wavutiwe kwenda kanisa unaloabudu kisa kumuona mkeo alivyo mzuri.
Sio uoe mke mbaya hadi mwenyewe uwe unamuogopa hata mkialikwa kwenye sherehe unamwambia atangulie utamkuta hutaki kuongozana nae, yote hayo kuogopa kuibiwa penzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
WanajiongezaUzuri wa mke ni nini?? Pia kwa hiyo hela, usishangae ukarudi kutoka job na ukakuta maini ya maana na hela yako hajaitumia ingawa mkep ana sura mbaya kama unavyofikiria kuoa.... msipende wafanya wake zenu chambo mkaja juta baadaye..
πππ Hatari[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]