Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,488
Mzee wangu ni Mngoni PURE ila Mama ni Mnyasa.. Technically Mimi ni "Half-cast"..Nimefurahi kuona ndugu zangu mpo humu..
NB:Ni fact kwamba Wanaume wa Kingoni are the Most Gentlemen kinds of Men in Africa..
Sent using Jamii Forums mobile app
nahis unaota ww
😂😂😂 I think Bena are no 1
Ni rahisi sana mtu anaevaa kama hivi(picha)...kum-treat his lady in gentlemen way..Kuwa gentlemen it's our culture..You should try US..Hutojutia.I think Bena are no 1
Apu wenga, ve na mngoni va koki?! Ne wa ku peramiyu chijiji chimonga chikemelwa Mnyongativi vamahele!!
Uhotola kyani wenga?Nilonda nene.... Nihotola
Ne wa ku peramiho,Apu wenga, ve na mngoni va koki?! Ne wa ku peramiyu chijiji chimonga chikemelwa Mnyonga
Sent using Jamii Forums mobile app
Magagula mpaka kizuka!!!Jamna ndugu zangu wa magagula nawatafuta humu mpo kwel au nko pekee yng
Sent from my iPhone using JamiiForums
Erasto Nyoni!!Hivi ukitoa bambo comedian ni mtu gani mwingine wa ruvuma ambaye ni maarufy Tz? Kwa tasnia yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok. Japo Sina uhakika Kama hata ungonini anapafahamErasto Nyoni!!
pmj shemproudly NGONI hakuna raha km kuzaliwa mngoni.
umenikumbusha mbali sana dr waya pale peramiho nimeng'oa sana meno pale na dr anzigarMambo ya lizombe hayo. Hususan kwa wale jamaa wa Litembo.
Namkumbuka hapa mzee wangu Dr Njako au Mzee wangu Maj gen Lupogo. Enzi hizo kwa Dr waya pale Peramiho.
Hongera sana
Fiyi vya maheli sana vya nihotola..!! kuwanji cha ilonda nsikana yule ni hyenge hya mahele sana… Nihoto kulova mawondi, sipa, mbelel, mbasa, mbufu….. Niholoto kulema nyabwaka, mandondo, mponga, malavi… Nihoto kudima mene, ng'ombi, ....Uhotola kyani wenga?
Nyie watu mnanikumbusha kwa MWOKA pale hotelini….miaka ya themanini na kitu huko (1985) …. MATIMBULA BUS SERVISEumenikumbusha mbali sana dr waya pale peramiho nimeng'oa sana meno pale na dr anzigar
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawolii… a.k.a sobola
Prof J. Joseph HauleHivi ukitoa bambo comedian ni mtu gani mwingine wa ruvuma ambaye ni maarufy Tz? Kwa tasnia yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app