Wangapi mnakumbuka kisa cha Kalume kenge?!

Huyu mwandishi naye alitulisha tango pori. Mbuzi kachinjwa atakunywaje maji??

mimi nilidhani mbuzi alipo chinjwa maji na fimba yalitumika kuoshea na kupikia na kuni
 
interesting, inakumbusha mbali mimi nimekikumbuka kisa cha buibui na.............?
 
Huyu mwandishi naye alitulisha tango pori. Mbuzi kachinjwa atakunywaje maji??
mimi nilidhani mbuzi alipo chinjwa maji na fimba yalitumika kuoshea na kupikia na kuni
Mwandishi katumia lugha ya mafumbo sana.
 
Mwandishi katumia lugha ya mafumbo sana.
kwa utawala huu mtakumbuka mpaka kisa cha yohana mjinga, mie nasubiri maana kisa cha robinson kruso kina fumbo la maendeleo
 
Aisee nimekumbuka ya manenge na mandawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…