WANGA WA MAJUU KASHESHE KWELi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957

Nani kasema uchawi ni wa mwafrika tu? kwamujibu wa picha hiyo, huyo si mwafrika ni kiumbe hai wa kizungu katika mawindo yake mchana kweupe, je? umeamini uchawi ni mpaka kwa wazungu?
Uchawi wetu ni nini……, unatofauti gani na uchawi wa mzungu….?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…