Wanazuoni wa Kiislamu waonya

So, why are Muslims so powerless?*
Answer: **Lack of education**.*

All we do is shouting to Allah the whole day!!! And blame everyone else for our multiple failures!!!!!

============================== =
*Muslims are not happy*

*They’re not happy in Gaza *

*They're not happy in Egypt *

*They're not happy in Libya *

*They're not happy in Morocco *

*They're not happy in Iran *

*They're not happy in Iraq *

*They're not happy in Yemen *

*They're not happy in Afghanistan *

*They're not happy in Pakistan *

*They're not happy in Syria *

*They're not happy in Lebanon *

*So, where are they happy?*

*They're happy in Australia *

*They're happy in England *

*They're happy in France *

*They're happy in Italy *

*They're happy in Germany *

*They're happy in Sweden *

*They're happy in the USA & Canada *

*They're happy in Norway *

*They're happy in almost every country that is not Islamic!*

*And who do they blame?*
*Not Islam...*
*Not their leadership...*
*Not themselves...*
*THEY BLAME THE COUNTRIES THEY ARE HAPPY IN*

*And they want to change the countries they're happy in,* *to be like the countries they came from,* *where they were unhappy.*
 
Hawa wanazuoni kama kweli wanauelewa wa kutosha juu ya amani wasichelewe kuionya redio imani na gazeti la al-nur juu ya uchochezi wanaoufanya unaoweza kuitibua hii inayoitwa amani.

Wasisubiri reaction ya wakristo ndipo waanze kujitetea ooh uislam ni dini ya amani mbona hawakulaani fujo zilizosababishwa na hasira zao kwa mtuhumiwa mhalifu wa kukojolea kitabu cha kuruani.
 
mmm! Shehe Mataka anasema tamko la maaskofu lilikuwa na mafumbo yanayotia hofu?! Yeye si mwanazuoni kwa nini asifumbue mafumbo hayo? Tafadhali aliye nalo alimwage hapa ili tudadavue hayo mafumbo.

Waliposema Tanzania mpya inakuja.
 
Waliposema Tanzania mpya inakuja.

====kwani kuna anayependa Tanzania hii ya kuchoma makanisa? Makanisa yakiacha kuchomwa na amani ikawepo, Tanzania mpya imekuja. Je Mataka haipendi hiyo Tanzania?
Hata hivyo baada ya dhiki ni faraja. Katika majivu ya kuchoma makanisa, tunatamani Tanzania isiyo na majivu.
 
"Na piganeni nao mpaka isiwepo fitna na mateso, na Dini yote iwe kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Lakini wakiacha, basi hakika Mwenyezi Mungu anayaona wanayo yatenda" Quruan 18:39

je Sheikh wangu sheik Mataka -unasemaje kuhusiana na haya hii? Je, unadhani hakuna dhuluma na wanafiki wanaosababisha fitina miongoni mwa viongozi wa bakwta kwa waislam na kuwafanya wengine waonekane "wachochezi wachache" ili hali Allah amewapa kibali cha kupigana (si lazima kwa upanga na fujo) bali hata kwa kusema? Je, una hakikiakuwa aho "wachochezi wachache"

wanaposema wanasikilizwa licha ya hoja dhahiri zilizowekwa wazi? Je, wakati wa mikutano yenu ya wanazuoni hao "wachochezi wachache"amewahi kushirikishwa ili kusikilizwa ili kuelemishwa batili wanayoifanya au mmekaa kimya ili kulinda maslahi yenu" Je, wangekuwa wachochezi wachache wangefuata na umati mkubwa kiasi hicho?

La msingi sheik wangu kulijua ni kuwa kwa sasa elimu ya dini iko wazi kuliko ilivyokuwa enzi za ujana wenu na nmna mliyoiyumia kuipta elimu hiyo ilikuwa ni ya uficho sana, sasa sivyo tena.

Je, uhalali wa Bakwata kuonekana kuwa ndo chombo pekee cha cha kuwasemiea waislam wameupata wapi? katika mfumo wa kuundwa kwake kama chombo cha kuwadhibiti waislam kupitia serikali? je sheikh una hakika hakuna dhuluma kwa waislam inayotendeka? Je unatutaka tueendelee kutii mamlaka hata kama hazifuati alivyoelekeza Allah (kufuata qur'an na sunnah?) je tumtii hata dhalimu wa haki na uadilifu kwa lengo tu la kulinda mani kwa maslahi ya wachache ilihali wengi wetu wakiumia usiku na mchana?

Tumwombe Allah awaongeze wanazuani wetu kuiona haki na kuifuata na kuiona batili na dhulma na kuiepuka. Allah awaongeze kusimamia haki na uadilifu miongoni mwa jamii na kuwaepusha kusimimia mslah ya dunia na kutumiwa. Kila mja ni muoni wa nafsi yake na ni mjuzi wa nayoyatenda na anayofikiria kuyetenda na maslahi ya nani.
 
hana uwezo wa kuyafumbua kwani analiongppa kanisa kama ilivyoserikali-japo kauli hiyo ingetolewa na masheikh serikali inegsha kemea na kuwataka kufuta usemi. Ole wao akina Mataka, kama kweli mnasimia haki basi Allah akulipeni heri, Inshallaha na kama kweli mna lenu moyoni basi Allah ni Mjuzi zaidi ya wajuzi
 
Makanisa kuchomwa moto -nani kasema waliochoma ni waislamm? sheikhe Mataka na wenzake wamechunguza na kubaini? Kumbuka ya Zanzibar -serikali ilipochukua jukumu la kupaka vinyesi na kuchafua maskuli na visima ili kuwasingizia CUF na hata kuchomwa kwa makanisa zanzibar, uamusho wanadai taarifa ya uchomaji makanisa =imetolewa mpaka leo? ikiwa walichoma uamusho mbona hawajashitakiwa?
Sheikh Mataka usiwe lishwe maneno sheikhe wangu nakupenda saana na kukuheshimu mno lkn usemee nafsi kwani wanadamu wana vitimbi mno -hujawahi ona mtu anajiumiza ili kumsinizia mwengine?
 
Sheikhe Mataka -ukiona mwendawazimu anafuatwa na kutiiwa na watu wenye busara basi ujue kuwa waliodhani ni wenye busara hawana busara tena. Ukiona waisla wanamfuata na kumtii Sheikh Ponda na wenzake basi ujue hakina Mataka wameshindwa kuwaongoza waislam kwenye haki na uadilifu kufikia malengo uya dini yao. Jitazameni sasa ikibidi achieni nafasi ili muone kama kutakuwapo na vurugu tena.
Lakin kwa kuikumbatia Bakwata kwa nguvu za dola si muarobaini wa machafuko. Watanzania hawana tofauti na wasomali, wamisri, na wengineo pale wanapokuwa wamechoka kuvumilia dhulma za wazi wazi-Masheikhe mnaotaka kuheshiwa basi tafuteni msingi wa vurugu wala msishike matwai yake
 
Amni sio kutuudhika wala kuvumilia upuuzi. Amani ni tunda la haki-ikiwa hakuna haki ujue amani i mashakani lau itakuwapo ni utulivu kutokana na wioga wa waonewa, lkn woga ukiwatoka -habari ndo hiyo. Mkiweza-wakiristu nanyi chomeni misikiti @jogi. Ni mara ngapi wachungaji wamechoma misaafu -umesahau zanzibar, bukoba, mwanza-kote huko waislam walivumilia-je wajua uvumilivu una mwisho? Mbona mapadri hawakuchukua hatua kuzuia udhalilishaji wa msaafu?
 
Swali zuri sana, kuna stori nilisikia inahusu waisrael na ujenzi wa Bugando Hospital kuwa walifukuzwa pale miaka ya 1973/74 baada ya kutokea staofahamu kati yao na Mwalimu NYerere, sikuwa nimezaliwa hivyo sina stori kamili.
 
Ningeshangaa kama wangewaelewa hao wasomi.Bahati mbaya sana hizi taasis KWA MAKSUDI zimekamatwa na VILAZA WACHUMIA TUMBAO WAUZA DINI ZAO KWA MASLAHI YA MATUMBO YAO.KAMA BAKWATA WALIVYO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…