Wanawake wenye hizi tabia mnakera

Aisee
 
hahaa mtoa mada yana mkuta huko " mke wangu nashukuru Mungu anenipa wewe ambaye huna hivi visanga
Nilivoona avatar yako nikajua mwanamke!
Nilivoona comment yako imekaa kiume!
Nilivokufuatilia nimeona mod wamekupiga ban!!
Akili yangu ikaenda mbaaaliiiii...Hahahaaaa!
Kwani ulifanya nn ndo wakakulamba ban!!?
 
Wivu lazima mtu chake ila ikizidi inakua too much, mweleze kua wewe una marafiki ndugu na jamaa,na nilazima ifike mahali muaminiane na muheshimiane,wapo wanawake wengine hua ni kichefuchefu hata akipiga mwanamke kwenye cm ya mumewe bila kutaka kujua anashida gani au nani anachamba tuu,sijui ni kutokuelimika au ujinga tuu wakuzaliwa nao.
 
Uwe na ujasiri wa kumueleza kama ulivyoandika humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…