Wanawake wengine mlioolewa mnakatisha tamaa!

Status
Not open for further replies.
haaa haaa haaa mkuu utasababisha wote waliosoma food science waanze kuwa na hofu,mbona sio huyo mkuu
oyaa wee jamaa achana na hayo mambo maana kitendo cha kutaja kampun ya watu ni doa tosha hata kama kuna ukweli au ni habar za kutunga, achana nazo ikiwezekana toa hiyo habari haraka sana, na kama una uchungu na huyo mtu mtafute inbox ongea nae, nakushauri hiyo mada toa hapo , unaweza leta shida endapo itafutiliwa kiundan na ikagundulika haina ukwel, utaleta shida, pia kwann uilete kwenye hadhara ya watu namna hii, embu fikiria ingekuwa ni wewe ? mimi ni mtu mzima nimepitia mengi makubwa ,achana na hizo habari ondoa hiyo post chap
 
Wewe dada wa TBL Mbeya mwenye watoto wawili na mume mpole, njoo faster JF kimenuka
jaman tunakosea matumiz mabaya ya mitandao, hivi unavyosema wewe dada ukataja eneo analofanyia kazi unahisi yuko pekeake? hivi akaja kujua kwa njia yoyote ile mnahis atakuwaje? embu tukue na tujue kuitumia vizur mitandao, hivi mnajuaje kama jamaa alikataliwa ndio akaamua kufanya hivyo, wanaume tuache kushabikiwa vitu visivyo tuhusu, badala ya kutoa ushauri unaleta ushabiki, nawaambia wana JF tuache kutaja watu kwenye mitandao, hayo ni yangu, maana embu mjaribu kuvaa uhusika muwe ndio mmefanyiwa nyie hata kama si kweli, Mtoa post hujatumia hekima , kutaka kwako kuoa kusiwe sababu, mimi ni kaka yako nimeandika haya kwa uchungu sana, narudia futa post hiyo.
 
hahaha haa bazaz sijataka kuficha ficha hizo code ndio maana zinajulikana, nimeziweka hivi ili muhusika ajue may b inaweza kumfikirisha ili ajue ujinga anaoufanya
Usingekuja kutueleza jf, we ungemchana akajielewa mapema
 
umefanya kitu amab
 
Ndio unajifunza ku-quote ama?
 
Yaani hapo hilo limwanamke na hilo limwanaume limchepuko yote hayana akili tu shwain kabisa
Wewew ukiwa umeolewa unaweza kubali kutongozwa na kutoa papuchi?
 
Mkuu Bazazi umetisha sana, huo ndio uanaume! Jamaa analalama badala ya kuchukua hatua kumsaidia mwanaume mwenzie!
 
mkuu nikiweka hapa ntakuwa kichwa panzi kama wao,ngoja nizichambue ambazo sio rahisi kugundulika kwa sura thn nifanye mchakato wa kuingia jukwaa la wakubwa afu ntazitupia kule
hivi hili jukwaa la wakubwa ndio jukwaa gani na ni vigezo gani vinatumika kuingizwa huko😬😬😬😬
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…