hahaha haa bazaz sijataka kuficha ficha hizo code ndio maana zinajulikana, nimeziweka hivi ili muhusika ajue may b inaweza kumfikirisha ili ajue ujinga anaoufanyaLofa wewe. Kama inakukera, tafuta simu ingine na laini mpya mtumie mume wa huyo punguani. Kama huwezi mpigie simu kwa kutumia public phone (naamini bado zipo), mchezo uishe. Kwanza wote mpo TBL Mbeya Plant na mume yupo Mbeya
Kufungua akaunti mpya haisaidii sana kama umekereka. Wasiliana na mume kwa kutumia njia za kijasusi kama kumwandikia barua iliwa na coloured pic za huyo maalun.
Umeharibu alfajiri yangu
Sweet and Sour.....
Cheating is sweet and enjoyable...... Tearing apart is bitter and hurting ..... Be ready for the outcomes. Whatever way it comes face it and if you see that you can't handle it better hold where you are. Matata K Platinumz.www.jamiiforums.com
Bazazi
upo sahihi kiongozi wanahitaji ufundi mpya daily lakini usifike huku kwenye kujidhalilisha,itakuwaje watoto wao wakija kuona ujinga wa wamama yao watakapokuwa watu wazimaTatizo letu sie wanaume, tunaishi na wanawake kwa mazoea kumbe wanawake wanahitaji kufanyiwa mambo mapya kila siku
Amna cha ajabu apo, kuna watoto mama zao wanajiuza,upo sahihi kiongozi wanahitaji ufundi mpya daily lakini usifike huku kwenye kujidhalilisha,itakuwaje watoto wao wakija kuona ujinga wa wamama yao watakapokuwa watu wazima
hahaha haa bazaz sijataka kuficha ficha hizo code ndio maana zinajulikana, nimeziweka hivi ili muhusika ajue may b inaweza kumfikirisha ili ajue ujinga anaoufanya
umekurupuka huko hata mswaki hujapiga eti "nnjaii". niweke chai hapa ili iweje sasa na kwa faida ya naniHii chai mbona haina kitafunio
hapana mkuu me naoa mwakani,leo nikimfanyia hivi mshkaji,kesho yatakuwa kwangu,si unajua kipimo unachopima ndicho utakacho pimiwaWew zitumie hizo picha kupata mzigo bure kwa bidada
Mwanamke mpuuzi ni mpuuzi tu hata umpe kwa kasi ya rocketKingine wanaume mliooa hakikisheni wake zenu kile chakula cha usiku mnawapa kwa speed ya 5G vinginevyo wakikutana na wahuni msianze kulialia
mkuu nikiweka hapa ntakuwa kichwa panzi kama wao,ngoja nizichambue ambazo sio rahisi kugundulika kwa sura thn nifanye mchakato wa kuingia jukwaa la wakubwa afu ntazitupia kuleWeka picha jombaa
Fanya hivyo maana uzi bila picha haunogimkuu nikiweka hapa ntakuwa kichwa panzi kama wao,ngoja nizichambue ambazo sio rahisi kugundulika kwa sura thn nifanye mchakato wa kuingia jukwaa la wakubwa afu ntazitupia kule