Wanawake wasomi

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Kuna wanawake wameenda shule na wana degree lakini utakuta Ana akili Ndogo utadhani ameishia darasa la saba!wazazi tuangalie watoto wa kuwasomesha maana wengine ni kufua tu pesa hamna cha maana
 
Akili ipi hawana coz kuna ya darasani na ya maisha kiujumla?
 
Akili za darasani ni tofauti na za maisha ya kawaida
 
Wengne wana akili za kulengeshea gogo kwenye shmo la choo tu, watu kama hao ukimuita akiwa chooni kamwe haitiki hata kama kuna hatari, mana anajua akiitika tu, mzigo unaenda kwenye lapa. Kwa ufupi akili zao hazigawanyiki
 
Elimu siyo akili bali akili ni maarifa.
Siyo kila mwenye elimu ana maarifa ya maeneo yote ya maisha.

Kwa mfano: wapo wanawake wana maarifa ya kulea watoto japo hawajasomea popote lakini kuna wanawake wamesomea malezi ya watoto ila hawana uwezo wa maarifa ya kulea watoto vizuri.

Wapo wanawake wana maarifa ya kujenga ndoa zao japo elimu zao ni ndogo kabisa ila wapo wanawake/wanaume wana elimu kubwa ila hawana maarifa ya kujenga ndoa zao.

Nakadhalika . . . . . . . . . . . .
 
Wewe umeishia darasa la ngapi mkuu?
 
Kuna wanawake wameenda shule na wana degree lakini utakuta Ana akili Ndogo utadhani ameishia darasa la saba!wazazi tuangalie watoto wa kuwasomesha maana wengine ni kufua tu pesa hamna cha maana
Hususan wale wa degree ya chupi[emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…