shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
Hivi unauhakika gani wakina lugumi, au hao home shopping, na hao unaosema wanaakili ya maisha ni wanaume wema????
Ume base kwenye Mali kama kipimo sahihi cha wanaume wema.
Kesho utakuja kusema kwanini wanaume smart hawaoi wanawake smart
Unasahau kwamba pesa au smartness ya mwanaume ni sifa moja wapo kati ya sifa nyingnie nyingi za kuwa mume bora
Sasa lugumi na Huyo homshopping ni smart people??? Mwenyewe unajichanganya na kujikanyaga.....unaelewa maana ya smart people??
A smart person is someone who can figure out almost any situation. It doesn't necessarily mean he has the required knowledge, but he's handy, so he can always solve whatever comes his way. source wikipedia
na oxford dictionary inasema hivi kuhusu smart person
Smart Person
Someone who is intelligent. Stereotyped to be obnoxious, geeky and have no sense of humor. That isn't true. There are two types of smart, Book Smart and Street Smart.
Stranger: Hey Kid, want a piece of candy?
Street Smart Person: Thanks, but no thanks.
Teacher: What is 63 times 99?
Book Smart Person: It is 6237.
Sasa lugumi na Huyo homshopping ni smart people??? Mwenyewe unajichanganya na kujikanyaga.....
Unafananisha smart people na wenye pesa......
Sasa kuwa kwao smart sio lazima wanawake wenye elimu ndio waolewe nao.....yap ni smart people.. streetsmart ndio maana wameona weakness ilipo wakatengeneza hela.... huwez fananisha street smartness aliyonayo said mahonda mmiliki wa home shopping na watu wengine wengi tu...
kama asingekuwa smart angekuwa mtandaoni humu sasa hivi anabishana kama mimi na wewe tunavyobishana... tukafanye kazi tuache majungu..
na kupenda ubishi tu
Sasa kuwa kwao smart sio lazima wanawake wenye elimu ndio waolewe nao.....
Kuwa smart haimaanishi au haina ulazima nawewe uoe educated one...
Mkuu kazi yangu au kufanya kazi kwangu kunakuhusu Nini????tukafanye kazi tuache mabishano.. mbona unapenda sana ubishi... nchi ya viwanda hii fanya uzalishaji usipoteze muda kwenye ubishi. hauleti chakula ubishi...
Nimekumis mpendwa...We sumbai wewe............
Tatizo utamtafuta bakhressa wa baadae...ikishafika hiyo baadae ataenda kuota moto na mtu mwingine badala ya yule alotafuta nae kuni....
Mfano bwana machache...
Toba!yap ni smart people..
kama asingekuwa smart angekuwa mtandaoni humu sasa hivi anabishana kama mimi na wewe tunavyobishana... tukafanye kazi tuache majungu..
na kupenda ubishi tu
Bila shaka ni wanawake wa darUnawaongelea wanawake wa daresalaam au mikoani?