Wanawake wanene kutoolewa!

Haina mashiko wanene saivi ndio Habari ya mjini huoni Wembamb watafuta dawa za kutunisha wowo
 


Nilitaka niseme hivi hivi,wengi wanaolewa wakiwa na miili midogo au ya wastani wananenepa ndoani. Ila mkuu umetumia lugha kali sana.
 
Aah kila siku kutusema khaa hem mutuwache
 

Mkuu umenena,wengi hunenepa baada ya kuolewa.Lazma tuwe wakweli kwamba wanawake vibonge ni changamoto hatakama kuna wanawake ambao ni wanene halafu wana shepu,hili ni kundi tofauti.Kuna shepu ambazo kila mwanaume anazitamani!Mfano namba 8.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…