Wanawake wanatuchukulia poa wanaume wapole.

Kuna mwanangu ni mpole kila atakapoingia hata tukiwa wengi lazima sifa zte abebe yeye,lakini sasa sisi tunaomfaham pombe yeye,bangi yeye wanawake yy tena uwa tunamuita mende maana anavyopenda hzo 0719 ni hatari,lakini upole wake ndio unaficha maovu yote hayo.
 
Ukiwa mpole kwa mwanamke mara nyingi anakuchukulia km bwege hv..ni km automatic hv kwahy usiwalaumu..jifunze kua mpole mwwnye maamuzi magumu yan upole baki nao lkn akifanya ndivyo sivyo lzm ajue una maamuzi magumu..hlf usitongoze mwanamke as if hutakuja kumgonga ht mkono hushiki bega kugusa unaogopa,sasa k. Upewe ya nn..jifunze kwanza ht kushika bega lol
 
Kama naanza kupata point kutoka kwako.
Maana mm nimpole tena mpole haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…