ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,797
- 60,636
Hakuna binadamu anapenda kitu kibaya.hakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye sio handsome..Kama mnakumbuka mke wa farao aliambiwa na wanawake wengine anawezaje kumwacha yusufu hivihivi bila kumlazimisha wafanye mapenzi.just imagine mdada anajikata mpaka na kisu akiwa anamwangalia yusufu kwa uzuri aaliokuwa nao yusufu.akamlazimisha yusufu kamkimbia dakika ya mwisho kabisa akaamua kumgeuzia kibao kwamba yusufu alitaka kumbaka.kinachoshangaza mwanamke na yeye hachelewi kukupoteza hata Kama akikupenda sana Hilo sote tulijue na ndo maana tumeagizwa tukae nao kwa akili.lakini pia mkae mkijua hawezi kukupenda Kama wewe sio handsome labda uwe na pesa.huu ndo ukweli mchungu wanaume wenye sura ngumu sana mnisamehe baba zangu.nasikia wengine mnasema kuwa wadada wanavutiwa na wanaume wenye sura mbaya za kikauzu.huku Ni kujitia tu moyo.tumeona mfano wa mke wa farao alikuwa hampendi mumewe anamuona Kama mzee mzee.hizi simulizi za kwenye vitabu vya dini Ni za kweli kabisa zimetokea karne nyingi zamani lakini hata Sasa mambo Ni Yale Yale huwa yanajirudia tu.
Naunga mkono hojaUhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.
Hahaaaa hahahaKabla ya kuandika uzi huu umepata kuongea lolote na Juma Kapuya?
Wadanganye watupori wenzako haya mambo huyajui tulia.Uhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wadanganye watupori wenzako haya mambo huyajui tulia.
Uhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.
hakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye sio handsome..Kama mnakumbuka mke wa farao aliambiwa na wanawake wengine anawezaje kumwacha yusufu hivihivi bila kumlazimisha wafanye mapenzi.just imagine mdada anajikata mpaka na kisu akiwa anamwangalia yusufu kwa uzuri aaliokuwa nao yusufu.akamlazimisha yusufu kamkimbia dakika ya mwisho kabisa akaamua kumgeuzia kibao kwamba yusufu alitaka kumbaka.kinachoshangaza mwanamke na yeye hachelewi kukupoteza hata Kama akikupenda sana Hilo sote tulijue na ndo maana tumeagizwa tukae nao kwa akili.lakini pia mkae mkijua hawezi kukupenda Kama wewe sio handsome labda uwe na pesa.huu ndo ukweli mchungu wanaume wenye sura ngumu sana mnisamehe baba zangu.nasikia wengine mnasema kuwa wadada wanavutiwa na wanaume wenye sura mbaya za kikauzu.huku Ni kujitia tu moyo.tumeona mfano wa mke wa farao alikuwa hampendi mumewe anamuona Kama mzee mzee.hizi simulizi za kwenye vitabu vya dini Ni za kweli kabisa zimetokea karne nyingi zamani lakini hata Sasa mambo Ni Yale Yale huwa yanajirudia tu.[/
YYYYYYYYYYYYaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna asiye penda kitu kibaya sooote twapenda lkn kwa kwa watoto wakike ni hivi hawa wapo hivi wanaona wanaume wazuri na wanakubali kweli fulani ni kiwango lkn uwezo wa kumfata hana,ishu inakuwa hivi mwanaume una uwezo wa kuwa na umtakae tofauti na hawa,mwanaume lanaweza akawa ni mbaya sana lkn the way you treat her ndivyo anavyozid kukupenda taratibu mpaka anakuzoea na kukuona kama mzurimzuri hivi ha ha ha ha ishu ni ss wanaume na jinsi tunavyowahandle hawa ndo matokeo ya wao kutuelewa "fikiria kitu kimoja mwanaumwe hawezi kuishi na mwanamke asiyempenda na akiishi nae mwanamke anaweza kukimbia mwenyewe na shida tazopata" "fikiria kuh mwanamke anaishi na mwanaume asiyempenda lkn mwanaume huyo akawa anampenda sana mwanamke lazma atampenda tu yule jamaa ni lazma"ndipo tunapoanza kutofautisha mwanamke anavyopenda na mwanaume anavyopenda ha ha ha .
Utulie hivyohivyo hii mada ni ngumu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetulia
Ila mimi mtu pori?Ahsante
Sawa kaka viatuUtulie hivyohivyo hii mada ni ngumu.
Ndioo, angalia tu hali ya sasa ilivyo utapata majibu.
NotedUhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.
Na mke wa muosha magari anatoka na mwanaume tajiri.me nadhan tutazid kudanganyana maana mke wa tajir anatoka na muosha magar me sijui tunakwamia wap