Marahaba mdogo wangu,katika siku zote nilizokujua leo umeongea pointi sana mdogo wangu inaonekana siku hizi tuisheni kwenu wanafundisha vizuri eehh?umenifurahishaje?naomba uendelee kusoma twisheni usiache hela ikiisha unaniambia tu sawa?
wanawake sio wachafu tu ndio unaovunja ndoa kuna kununa,kutokumuamini mwenzake hata nukta.kutokumjali hata kwa chai asb ndani ni full ligi.we acheni tu hii dunia isingekuwa na mwanamke ingekuwa mahali salama pa kuishi.
Kwanini asiwe mchafu wakati hela ya matumizi unatoa ndogo?
Unakumbuka ni lini umempeleka mkeo Shopping wakati unajua kabisa mkeo hana kazi .
Kuja kumpatia hela ya saluni mpaka mvutane , wakati hawara akiomba ya saluni una muongezea mpaka na ya tax ya kuendea saluni!
Kwanini asionekane mchafu wakati we ndo una mpatia stress kwa sababu ya vimada wako?
Wanaume mnahusika sana katika maisha ya ndoa kuliko hata wanawake na maanisha kwamba nyie ndo mnawa shape wake zenu jinsi walivyo na huwa hamna solution ya maana zaidi ya kutafuta vimada kitu ambacho unazidi kumfanya mkeo azidi kuonekana mchafu mbele yako kwani focus yako ina kuwa imesha hamia kwa kimada .
Ebu jiulize ni lini umekuja home na ki perfume kwa ajili ya mkeo kama zawadi au umeona ka kiatu kazuri umemchukulia mkeo kuliko kwenda baa kutumbua hivyo vihela vyako na ma baamed au vimada .
Kwa tabia hiyo mkeo hawezi kupendeza au kuonekana na mvuto mbele yako .
wanawake sio wachafu tu ndio unaovunja ndoa kuna kununa,kutokumuamini mwenzake hata nukta.kutokumjali hata kwa chai asb ndani ni full ligi.we acheni tu hii dunia isingekuwa na mwanamke ingekuwa mahali salama pa kuishi.