mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Si kweli kabisa kuwa wanawake wanapenda kuvunja ndoa zao as katika hali halisi wanaoteseka zaidi ndani ya ndoa ni wanawake.na kinachovunja ndoa ni mambo kama vile kukosekana kwa uvumilivu katika ndoa nyingi za sasa,usaliti ndani ya ndoa mmomonyoko wa maadili na mengineyo mengi.
Habari zenu wana JF natumai muwazima wa Afya.
Leo naomba tujadili suala la ndoa kw nini hazidumu katika jamii yetu na chanzo ni nini?
Kwa mnasaba wa kichwa hicho cha habari moja kwa moja natupa shutuma kwa wanawake ndio chanzo cha kuvununja ndoa ingawaje talaka ya kumaliza mkataba huo anatoa mwanamme wanawake kwa 100% wao wanahusika kwa sababu za kidini kisaikolojia na kijinsia kama zifuatazo:-
Mwenyezimungu mtukufu ktk Qur-ani amesema " Nimekuumbieni wake zenu (wanawake) tena wajinsia yenu ili mupate utulivu" kwa aya hio wanawake ndio wenye wajibu na jukumu la kuwapa wanaume utulivu
Wanawake wengi wanashindwa kujua majukumu yao ktk ndoa na kuwazarau waume zao eti tu kwa sababu akitoka anaulizwa hali na wanaume si chini ya 100 wamejisahau kua kulenga si kufuma na kusalimiwa si kupendwa.
Mara nyingi wanawake baada ya kuolewa wanabadilika baada ya kumaliza kipindi cha honey moon wao ndio wanakua jeuri na kiburi na kua wachafu tofauti kabisa na kipindi walichokua wachumba wakiibana vichochoroni uzuri wote unatoweka.
Wanawake wengi baada ya ndoa usafi hupungua anaweza kushinda na gauni siku 3 ww ukiingia na kutoka unamuona habadiliki hata akikoga anakogea kitanda namaanisha anakoga usiku akitaka kulala utauonaje uzuri wake ? Mbadala ya hapo ndio ikaonekana kua wanaume waliowengi wanafadhaika kwa wanawake wa njee waliojiremba kwa kutafuta soko.
Mwanamke hana maandalizi yoyote katika tendo la ndoa na mume wake ukijaribu kusogelea mido zake joto lake kuliko bekari na harufu yake kuliko choo akinadada basi mnashinda hata kujiwekea poda maeneo kama hayo ukijumuisha na kwapa? Huwezi kusema uzamie lulu huko ndio utqtoka na vidonda kama muathirika hakufiki kwa acid na haru mbaya.
Ila dada huyo huyo akienda kwa hawara wake atakoga maji pipa zima manukato ya kila aina na mapoda ya bei hali anatamani kietezo kingepenya kule chini kwa hali hii lazima useme hawara wako anakufikisha kwa kua unajiaandaa kwa ajili yake na sio kwa yule aliekumiliki.
Huu ni wangu uono toa hoja na sio ushabiki
Mara nyingi wanawake baada ya kuolewa wanabadilika baada ya kumaliza kipindi cha honey moon wao ndio wanakua jeuri na kiburi na kua wachafu tofauti kabisa na kipindi walichokua wachumba wakiibana vichochoroni uzuri wote unatoweka.
Wanawake wengi baada ya ndoa usafi hupungua anaweza kushinda na gauni siku 3 ww ukiingia na kutoka unamuona habadiliki hata akikoga anakogea kitanda namaanisha anakoga usiku akitaka kulala utauonaje uzuri wake ? Mbadala ya hapo ndio ikaonekana kua wanaume waliowengi wanafadhaika kwa wanawake wa njee waliojiremba kwa kutafuta soko.
Mwanamke hana maandalizi yoyote katika tendo la ndoa na mume wake ukijaribu kusogelea mido zake joto lake kuliko bekari na harufu yake kuliko choo akinadada basi mnashinda hata kujiwekea poda maeneo kama hayo ukijumuisha na kwapa? Huwezi kusema uzamie lulu huko ndio utqtoka na vidonda kama muathirika hakufiki kwa acid na haru mbaya.
Nyoa hivyo videvu vyako vya rangi ya udhurungi, tibu utango tango na ukate kucha. Umewasema wanawake lkn jamii ya wafuga videvu wanaume ndio wachafu hasa na nafikiri wanawake huiga kwao.
Mwanaume unafuga videvu vichafu, kakanzu kamefubaa kwa jua na una utangotango kama yule mkashifu dini wa Mwenge kituoni. Unavaa lemba la Arafat lina jasho kali na kwapa halijanyolewa na bado unamlaumu mkeo kwa uchafu. Safisha na hayo masikio yako
Inaweza kua ni kweli ila tunaangalia reshio km 95% wako hivi basi 5% hawawezi kuziba pengo ila labda wazee wawafunze watoto wa kike kabla ya ndoa mambo haya ila kwa kua ndoa ni kitu kinachoshuka thamani kwa wasichana walivyo wakifahamishwa na waumu zao ni wagumu kuelewa kulinganavna uchakavu wa ndoa
Kwa mnasaba wa kichwa hicho cha habari moja kwa moja natupa shutuma kwa wanawake ndio chanzo cha kuvununja ndoa ingawaje talaka ya kumaliza mkataba huo anatoa mwanamme wanawake kwa 100% wao wanahusika kwa sababu za kidini kisaikolojia na kijinsia kama zifuatazo:-
Nimesema wanawake wanapenda kuvunja ndoa kwa sababu wao wanasahau wajibu wao na vyanzo vingi vya kuvunjika kwa ndoa vinasabanishwa na wao na wanajua lakini hawajifunzi au kuviepuka
Nimesema wanawake wanapenda kuvunja ndoa kwa sababu wao wanasahau wajibu wao na vyanzo vingi vya kuvunjika kwa ndoa vinasabanishwa na wao na wanajua lakini hawajifunzi au kuviepuka
hebu orodhesha wajibu wa ndoa kwa mwanaume ni upi na wajibu wa ndoa kwa mwanamke ni upi?