Kumbe umewaita wanawake wenzako waje walizungumie, basi mim hapo sitatia neno ila kama shemeji kama yupo Jf na username yako anaijua basi kakuskia
Samahani lakini, mimi ni mdume, ila nachangia kidogo, ni kweli kwa dunia hii kuna baadhi ya vitu vifanyeni kuwa siri sio wanawake tu hata wanaume pia. Kwa mfano mimi mwanaume ni lazima nifiche hata ka-pocket money, maana anaweza rafiki yangu kuja na shida ya hela kidogo tu say shilingi laki tatu. Kweli ni hela ya kukaa kikao cha familia kujadili hiyo?! Ila vitu vya msingi viwekeni wazi visije vikazua sokomoko mfano vyanzo vya mapato viwe peupe tu ili kuondoa mashaka ya "misaada kutoka nje ya himaya."
Leo nimeamini ule usemi wa mume si ndungu yako bali mnasaidiana maisha, kosa langu nilijisahau sana nikawa muwazi kwa kila kitu kuanzia biashara mpaka msahahara wangu.
Kumbe kuna vitu vingine inabidi nifanye mwenyewe make si kwa vituko ivi. Asante baba sijafa wanawake wenzangu mlioko ndani ya ndoa mnanilionaje ili manayake hawa viumbe kama vinyonga.
Pole shoga mie nimekuelewa..ukipenda usipende na kichwa anza na miguu.