Wanawake wa staili hii, wanakera mno

wote chenga ur after her papuch she is after ur visenti ila kinachokuuma kakuzid akili kakulia af ujamla ndo maana umepanick maana ungempenda kweli ucngekua hapa alaf unaonekana una pupa sana hata hao other fish in the ocean utaishia kuwatazama huwavui ng'odo..wanaume wa ajabu jamani khaaa!
 
Punguza mawasiliano kama anakupenda kweli she will come for you ukiona kimya achana naye atakuumiza tu kichwa . . . . . .Bait for a better fish
I must say, you sir- are good in these things
 

Mi sipo hivyoo, sikuwaza kutafuna afu nikimbie
UDHAIFU WANGU NI KUWA NIKIMPENDA MWANAMKE HUWA NAPENDA KWELI!

MASKINI MIMI! udhaifu wangu huu husababisha nipewe za mbavu!

Lakini sasa namshukuru mungu baada ya kusoma coments za wakuu humu MMU, nimepata nguvu na nimeweza kumpotezea, namba zake zote nimedelete, na sasa naanza maisha mapya.

Ninaimani kuwa ntapata chombo kingine, ambaye hatokuwa na tabia kama hizi!
 

Ni kweli wakiwahi kupewa wanaanza dharau na kukimbiaaa. Dawa ni kumwambia atoe posa na mahari ajulikane rasmi kwa wazazi kuwa ni mchumba, ndio malavi davi yatafuata.
 
Ni kweli wakiwahi kupewa wanaanza dharau na kukimbiaaa. Dawa ni kumwambia atoe posa na mahari ajulikane rasmi kwa wazazi kuwa ni mchumba, ndio malavi davi yatafuata.

Yap..your a real character of gentleman!
 




Pole jibaba.mimi sijui nikoje? Sipendi kumuuliza kichuna wangu kama ananipenda,asiponionyesha, nafanya maamuzi ya kumpotezea kwa amani tu.life goes on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…