Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Mitaa ipo hiyo?Usipate tabu mkuu, njoo huku kitaa kwetu utajipatia za kupima zinazo zungushwa kama feni kabla hauja lipia....[emoji28]
Ongeza sauti asikie vizuriNawashangaa nyie mnanunua gari za fahari halafu mnalalamika njiani mtupishe sisi wenye vitz tunafurahia kuwa na magari haya.
Umeshaelewa lakini?
Umejaribu asilimia ngapi?Wengi wamekuwa ni wavivu sijui ni kwa nini,wengi hulalamika kuhisi maumivu
ha ha ha wachache tu mkuu niliokutana nao;ningejaribu wengi ila tunaogopa maradhi na majukumu yasiyo ya lazima.Umejaribu asilimia ngapi?
Yani mtu akajifaidie katamu kako kisa story ya huyu mvulana?? Labda km ulikuwa na plan ya kumtunuku tuKwa niaba ya wasichana wa humu JF nimejitolea kuprove wrong hii ID...nitaomba mechi kwa naniliu humu halafu ataleta mrejesho
Ifike wakati hizi kashfa ziishe
Hakika wewe ni mkomboziiKwa niaba ya wasichana wa humu JF nimejitolea kuprove wrong hii ID...nitaomba mechi kwa naniliu humu halafu ataleta mrejesho
Ifike wakati hizi kashfa ziishe
Sasa kwa nini utoe hitimisho eti wanawake wengi.ha ha ha wachache tu mkuu niliokutana nao;ningejaribu wengi ila tunaogopa maradhi na majukumu yasiyo ya lazima.
ha ha ha ok njoo uthibitishe kuwa ninayosema si sahihiSasa kwa nini utoe hitimisho eti wanawake wengi.
Afu msikute nyie ndo huwa mnapuyanga vibaya
Yani mtu akajifaidie katamu kako kisa story ya huyu mvulana?? Labda km ulikuwa na plan ya kumtunuku tu
Kama hajaelewa nimtafasirieNawashangaa nyie mnanunua gari za fahari halafu mnalalamika njiani mtupishe sisi wenye vitz tunafurahia kuwa na magari haya.
Umeshaelewa lakini?