Wanawake Vaeni chupi za gharama



WEwe shida yako "bra" au papuchiiii hadi "bra" ikurushe roho??!!😁😁
 

Unamnunulia chupi dozen za ef50 anaenda kuvuliwa na mtu mwingine
haya tunasubiri mrejesho
 
Chupi ya gharama ndio nini? Chupi kazi yake nini? Na je iyo ya gharama Ina kazi kupita isiyo na gharama au Ina TV ndani
 
Hizo mbona pana pana sana aise. .kama vile Sufuria --?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…