Mzalendowadamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 218
- 319
Naangalia cash zaid....Baada ya kufanya utafiti wangu nimekumbana na kaluli hii " Alinisumbua saana kwa siku nyingi ... nikaamua nimkubali". Je ni kweli unaweza kumkubali mwanaume kisa eti amekusumbua sana?
Tafadhali akina dada fungukeni hapa kama kweli tukiwa wasumbufu tutafanikiwa.
Maneno huumba, ila ulimtoa kijanja sana... Maana ulijua anauogopa huo ugonjwaila mie naishi na vvu, mume wangu mwenyewe si wamwona kwahiyo endelea at your own risk
Hahahahaha uwiiiiBaada ya kufanya utafiti wangu nimekumbana na kaluli hii " Alinisumbua saana kwa siku nyingi ... nikaamua nimkubali". Je ni kweli unaweza kumkubali mwanaume kisa eti amekusumbua sana?
Tafadhali akina dada fungukeni hapa kama kweli tukiwa wasumbufu tutafanikiwa.
Eeeeh, haswa unaposumbua huku mkono sio wa birikaBaada ya kufanya utafiti wangu nimekumbana na kaluli hii " Alinisumbua saana kwa siku nyingi ... nikaamua nimkubali". Je ni kweli unaweza kumkubali mwanaume kisa eti amekusumbua sana?
Tafadhali akina dada fungukeni hapa kama kweli tukiwa wasumbufu tutafanikiwa.
Hujapata kinganganizi wewe unasema tu. Usisahau singanganii kwa kunipenda hapana, nangangania papuchi tu nikishaipata hapo wewe ndio utanitafutaata kama mtu akiwa king'ang'aniz vp kama simpendi simpendi tuuu na wala siwez mkubali eti kisa king'ang'aniz upendo ni mpendo tuu tena kwa mtu umpendaye kwa dhatiiii
Unanikumbusha kikademu flani kiliniambia hivyo kina VVU na mimi nikamwabia nina tetenasi tokea shule nikakila mpaka leo nipo fiti kinomaaaMie kuna jinga moja lilikuwa linanosumbua, naona likawa king'ang'anizi sijui lilikuwa linapata ushauri huku jf, ohh hata kama unamume naomba niwe mchepuko wako, siku likanichosha eti oh najua wanipenda kusema washindwa tu, nikaamua kulitolea uvivu, nikamwambia hakuna tabu, ila mie naishi na vvu, mume wangu mwenyewe si wamwona kwahiyo endelea at your own risk, mpk leo hata salamu hatoi, labda ukute bwege ndio atakukubali kisa king'ang'anizi hata mie ujuzi na jinsi ya majibu ya maswali yote napata jf.
Hujapata kinganganizi wewe unasema tu. Usisahau singanganii kwa kunipenda hapana, nangangania papuchi tu nikishaipata hapo wewe ndio utanitafuta
Sijawahi kumtongoza mwanamke kwa zaidi ya dk.15..ndani ya huo muda naku nishajua hapa ni +ve au neg...naangaliaga body language zao...sisubiri kuambiwa jibu kwa maneno...sijawahi kukosea...so sijui maana ya kung'ang'ania!!!Baada ya kufanya utafiti wangu nimekumbana na kaluli hii " Alinisumbua saana kwa siku nyingi ... nikaamua nimkubali". Je ni kweli unaweza kumkubali mwanaume kisa eti amekusumbua sana?
Tafadhali akina dada fungukeni hapa kama kweli tukiwa wasumbufu tutafanikiwa.
Sasa umeandika ushuzi tupu na tena umejiharishia na chupi imejaa mavi,nenda kaivue uitupe kefule wewe.Mie kuna jinga moja lilikuwa linanosumbua, naona likawa king'ang'anizi sijui lilikuwa linapata ushauri huku jf, ohh hata kama unamume naomba niwe mchepuko wako, siku likanichosha eti oh najua wanipenda kusema washindwa tu, nikaamua kulitolea uvivu, nikamwambia hakuna tabu, ila mie naishi na vvu, mume wangu mwenyewe si wamwona kwahiyo endelea at your own risk, mpk leo hata salamu hatoi, labda ukute bwege ndio atakukubali kisa king'ang'anizi hata mie ujuzi na jinsi ya majibu ya maswali yote napata jf.
Hujakutana na chizi unamwambia hivo na yeye anakujib hata mimi hali yangu kama yako hivo usijal.Ha!ha!ha! hapo lazima uchokeMie kuna jinga moja lilikuwa linanosumbua, naona likawa king'ang'anizi sijui lilikuwa linapata ushauri huku jf, ohh hata kama unamume naomba niwe mchepuko wako, siku likanichosha eti oh najua wanipenda kusema washindwa tu, nikaamua kulitolea uvivu, nikamwambia hakuna tabu, ila mie naishi na vvu, mume wangu mwenyewe si wamwona kwahiyo endelea at your own risk, mpk leo hata salamu hatoi, labda ukute bwege ndio atakukubali kisa king'ang'anizi hata mie ujuzi na jinsi ya majibu ya maswali yote napata jf.
eeeh yame kuwa hayo...Mie kuna jinga moja lilikuwa linanosumbua, naona likawa king'ang'anizi sijui lilikuwa linapata ushauri huku jf, ohh hata kama unamume naomba niwe mchepuko wako, siku likanichosha eti oh najua wanipenda kusema washindwa tu, nikaamua kulitolea uvivu, nikamwambia hakuna tabu, ila mie naishi na vvu, mume wangu mwenyewe si wamwona kwahiyo endelea at your own risk, mpk leo hata salamu hatoi, labda ukute bwege ndio atakukubali kisa king'ang'anizi hata mie ujuzi na jinsi ya majibu ya maswali yote napata jf.