Wanawake tu

45 king

Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
69
Reaction score
18
Helow wakuu,

Mimi ni mwanaume ninaejitegemea natafuta mwanamke kwa ajili ya kufarijiana tu yaan ambaye nikimuhitaji wakati wowote isipokua wa kazini awe tayari awe ana uwezo wa kujitegemea kimaisha sitaki wa kuja kumlea. Napendekeza zaidi wale wanaosidimaga hawataki kuolewa. Nipo tayari tukapime. Location Arusha.

Kama uko na vigezo hvyo ni Pm tafadhali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…