Wanawake tu

Me wa kwangu anapenda maharage kuliko hata nyama. .nikipika maharage na nyama anakula maharage.... Kwa hiyo wengine wanaleta tu maharage kwa sababu wanapenda
 
Ila hiyo ya kwenda kula mshikaki kwa jiran sasa hahahahahaahahahah...
 
harage ukiliunga fresh taamu unlitupia na vitangawizi na vithomu
Bila kusahau katui ka nazi....yaan ndiyo maana yeye anapendaga kuliko hata nyama hahahahahahahaha...ila sijawahi mwelewa me nyama ndiyo mpango mzima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…