Wanawake tu

[emoji23][emoji23]

Sawa
 
Hivi nimeelewa kweli?🤣🤣🤣🤣
 
Aisee..
 
Ha haaa shenzi kabisa wewe
 
manengelo mshenga wangu mbona mimi kama hii mada naielewa ndivyo sivyo!! Au kwavile akili yangu inawaza ujinga?!!!!🙆🙆🙆🙈🙈🙈🙈
 
manengelo mshenga wangu mbona mimi kama hii mada naielewa ndivyo sivyo!! Au kwavile akili yangu inawaza ujinga?!!!!🙆🙆🙆🙈🙈🙈🙈

.yaan ww ndo mjinga😂!umezoea kurudi kinyume nyume eh..hii sio kinyume nyume ww...tembea kifua mbere
 
Hahahaaa!! Kwa ruhusa ya mshenga naomba nitekeleze vile nilivyoelewa😜😜

tekeleza mama... maisha ndo haya haya..ila serious niliambiwa na mama wa kicjaga alikua serious ww!ingawa mm nilikua nacheka!nie nayatelekza mubashara😶
 
tekeleza mama... maisha ndo haya haya..ila serious niliambiwa na mama wa kicjaga alikua serious ww!ingawa mm nilikua nacheka!nie nayatelekza mubashara😶
Tena kama ni mama wa kichaga basi nalichukua kama lilivyo, hawakoseagi wale.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…