Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
ππMaharage nayo kila siku loh, hapo lazima uongee
pita hiviMnafundishana uharamia eeeh.
ππ kwan unaenda kudoea mishikak akiwepo?hornet ww unaniangusha..ametoka nipa wosia mama wa kichaga hapa nimecchekaa amesema wachaga wanfundishwa hvyo..don shout mamaa,dont blameπHahahaaaaa
Ila si bora kuongea kuliko kufumwa kwa jirani?
Kuna wanaume wamezoea wake zao vinanda, ukikaa kimya anaanza kukuchokonoa ilimradi tu akusikilize!!!
ππusafi wa mazingira kakakeπNilikuja kuchungulia mnapeana nin huku,nkajua mbinu za kumfanya mwanaume awe zezeta katika nyumba
Dadavuzi nimekuelewa...hahahha msalimie mama manka mwambie ujumbe umefika...ozzah
ππ!vitenzi vivugumishiπππͺHahaha tuliopata A za kiswahili ndio tutaelewa hapa...
"Dadavuzi"
Dadavuzi nimekuelewa...hahahha msalimie mama manka mwambie ujumbe umefika...ozzah
Kiswahili lugha tamm sanaaπππππ!vitenzi vivugumishiπππͺ
Kiswahili lugha tamm sanaaπππ
Halafu natokea hukuuuupita hivi
Hahaaa ndio mlivyozoeaNilikuja kuchungulia mnapeana nin huku,nkajua mbinu za kumfanya mwanaume awe zezeta katika nyumba
Ila ujue kuna watu wana sifa sanaa...mtu kala mlenda bado atataka na "tospiki" mfyuuu ili adolishie nayy kala meat ππππππ